Psalms 76:6-7


6 aKwa kukemea kwako, Ee Mungu wa Yakobo,
farasi na gari la vita vilikaa kimya.

7 bWewe peke yako ndiye wa kuogopwa.
Ni nani awezaye kusimama mbele yako unapokasirika?
Copyright information for SwhKC